説明
Jufunze Dua na Adhkari alizokuwa akitumia Mtume Muhammad yeye na Sahaba zake katika nyakati tofautitofauti. Hapa utazisoma dua Nyingi zaidi ya 500.
1. dua ya kuamka
2. Dua ya kulala
3. dua ya kujikinga na wachawi
4. Dua ya kujikinga na majini na mashetani
5. Dua ya kuwaombea wazazi
6. Dua ya kuingia msikitini
7. Dua za kuswalia
8. kumswalia Mtume
9.Dua za pindi upepo unapovuma
10. Dua za kuingia chooni
11. Dua pindi unapokutana na adui
12. Dua ya maharusi
13. Dua za kuombea haja mbalimbali
14. Dua za kuomba kheri duniani
15. Dua ya Dua ya kutoka chooni
OTHERS:BOOKS_AND_REFERENCE
バージョン1.3.5の新機能
最終更新日:Jan 13,2025
軽微なバグ修正と改善が行われました。最新バージョンをインストールまたは更新して、ぜひ確認してみてください!